Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan tayari amezindua soko la Konde lililopo Wilaya ya Micheweni, Pemba ambapo alikuwa na viongozi mbalimbali wa Kiserikali wakati wa uzinduzi huo.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alipokelewa na Waziri wa Kilimo, Mifugo, Maliasili na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid na viongozi wengine wa Chama na Serikali.

Post a Comment

 
Top