Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na
Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga akichimba
msingi wa ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa kwenye shule ya sekondari
ya Maweni Jijini Tanga wakati alipokwenda kushiriki msaragambo na
kukabidhi mifuko 200 kwa ajili ya kusaidia ujenzi huo
Mstahiki
Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi akichimba mtaro huo kwa
ajili ya ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya Sekondari
Maweni Jijini Tanga leo Ambapo 
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na
Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga
 alipokwenda kushiriki msaragambo na kukabidhi mifuko
200 kwa ajili ya kusaidia ujenzi huo
 WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na
Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga akichimba
msingi wa ujenzi wa vyumba vitatu kwenye shule ya sekondari ya Maweni
Jijini Tanga wakati alipokwenda kushiriki msaragambo na kukabidhi mifuko
200 kwa ajili ya kusaidia ujenzi huo
Sehemu ya mifuko ya Saruji iliyotolewa na   WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga
  WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na
Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga katikati
akipokea cheti cha kutambua mchango wake kusaidia maendeleo ya Jiji la
Tanga kutoka kwa Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj  Mustapha Selebosi
kushoto ni Diwani wa Kata ya Maweni,Joseph Calvas
Mstahiki
Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj  Mustapha Selebosi kulia akimkabidhi cheti
cha kutambua mchango wao katika kuinua sekta ya elimu kwenye Kata ya
Maweni Diwani wa Kata hiyo kushoto  
Joseph Calvas
 Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj  Mustapha Selebosi katika akimshukuru WAZIRI
wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na
Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga kulia kwa kusapoti elimu katika
Jijini hilo baada ya kupokea mifuko 200 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa
vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya Sekondari Maweni
Afisa Elimuy Sekondari Jiji la Tanga,Lusajo Gwakisa akizungumza na waandishi wa habari ambapo walimshukuru WAZIRI
wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na
Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga kulia kwa kusapoti elimu katika
Jijini hilo baada ya kupokea mifuko 200 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa
vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya Sekondari Maweni

 WAZIRI wa Afya, Maendeleo
ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu
mkoa wa Tanga akisaini kitabu cha wageni katika shule ya Sekondari
Maweni Jijini Tanga katikati  
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj  Mustapha Selebosi kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Tanga,Ramadhani Posi
 WAZIRI wa Afya, Maendeleo
ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu
mkoa wa Tanga akiteta jambo na  
Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Tanga,Ramadhani Posi
 WAZIRI wa Afya, Maendeleo
ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu
mkoa wa Tanga akipiga picha ya pamoja na walimu wa shule ya sekondari
Maweni Jijini Tanga
 WAZIRI wa Afya, Maendeleo
ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu
mkoa wa Tanga katikati akiteta jambo na Mwalimu Mkuu wa shule ya
Sekondari Maweni Zawadi Ponera kulia
 WAZIRI wa Afya, Maendeleo
ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu
mkoa wa Tanga akitembelea maeneo mbalimbali katika shule hiyo kushoto ni
diwani wa Kata ya Maweni,Joseph Calvas na kulia ni Mwalimu Mkuu wa
shule hiyo Zawadi Ponera
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya
Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu
mkoa wa Tanga akimsikiliza kwa umakini Mstahiki Meya wa Jiji la
Tanga,Alhaji Mustapha Selebosi kulia ni Kaimu Mhandisi wa Jiji la Tanga
Mussa Mkomola

Post a Comment

Top