Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
PMO_5443 copy
Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa wakati alipohudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Mapiduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar. Katikati ni Rais Mstaafu wa Zanzibar Mh. Aman Baeid Karume.

(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
PMO_5392
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Gharib Bilal wakati alipohudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Mapiduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar. Katikati ni Rais Mstaafu wa Zanzibar Mh. Aman Baeid Karume.
PMO_5394
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Dkta Salim Ahmde Salim  wakati alipohudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Mapiduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar. Katikati ni Rais Mstaafu wa Zanzibar Mh. Aman Baeid Karume.
PMO_5470
Baadhi ya wake wa viongozi na viongozi mbalimbali wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika maadhimisho hayo kwenye uwanja wa Aman leo mjini Zanzibar.
PMO_5474
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na Mama Fatma Karume  wakati alipohudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Mapiduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar. Katikati ni Rais Mstaafu wa Zanzibar Mh. Aman Baeid Karume.
PMO_5478
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa wakati alipohudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Mapiduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar. Katikati ni Rais Mstaafu wa Zanzibar Mh. Aman Baeid Karume.
PMO_5484
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana naRais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi wakati alipohudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Mapiduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar. Katikati ni Rais Mstaafu wa Zanzibar Mh. Aman Baeid Karume.
PMO_5486
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete  wakati alipohudhuria maadhimisho ya miaka 54 ya Mapiduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar. Katikati ni Rais Mstaafu wa Zanzibar Mh. Aman Baeid Karume.

Post a Comment

 
Top