Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 Watu Washtushwa na Muonekano Mpya wa Wowowo la Ruby
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Ruby kupitia ukurasa wake wa Instagram aliposti picha ikimuonesha mwenye umbo kubwa tofauti na muonekano wake wa siku zote.

Picha hiyo ambayo ni ya kwanza kwa mwaka 2018 kwa msanii huyo kuonekana, Ruby aliiweka na kuwatakia mashabiki wake Kheri ya Mwaka mpya.
Watu wengi waliotoa maoni kwenye posti hiyo wameonekana kushangaa mabadiliko hayo ya ghafla huku wengine wakidai ametumia dawa za kuongeza makalio wengine wakiamini kuwa ametumia App ku’edit picha hiyo.
Ukweli ni kwamba Ruby hajatumia dawa ya kichina wala kuvaa kigodoro bali picha hiyo imefanyiwa editing  kupitia Application maalumu zinazofanya kazi hiyo ya kuongeza maumbo kwenye picha.

Picha Orijino ya Ruby aliyopiga kabla ya kueditiwa.
Kuna Applications kibao ambazo hutumiwa na wanawake kuedit picha kama ya Ruby ambazo kama hutakuwa mtundu wa mambo ya Picha huwezi kugundua hata siku moja kama picha imefanyiwa Editing.

Post a Comment

 
Top