Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Leo January 6, 2016 Staa wa Bongo movie Jacquline Wolper siku chache zilizopita amekuwa akipost vitu kupitia mitandao yake ya kijamii  kuhusiana na kuvalishwa pete ya uchumba na kuolewa na mwanaume ambaye wengi hawamfahamu.

Kupitia mtandao wa snapchat pamoja na instagram Jacquline Wolper amepost picha ambazo zinaashiria kuwa ameshaolewa kutokana na captions alizoziandika na moja ya captions ameandika “Masaa yaliyopita namshukuru Mungu”

Post a Comment

 
Top