Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 
Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imemtaka msanii Roma Mkatoliki pamoja na Stamina kufanya marekebisho kwenye wimbo wake wa 'Kibamia' ambao umeonekana kukiuka maadili.

Taarifa hiyo imetolewa leo na Naibu Waziri wa Habari, Juliana Shonza alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, na kusema kuwa wimbo huo umekiuka maadili ya Mtanzania, kwa kuwa na maneno ambayo hayafai na kuwataka wasanii hao kufanya marekebisho mara moja.
Pia Naibu Waziri wa wizara inayohusika na masuala ya sanaa, amevitaka vyombo vya habari kutopiga wimbo huo, mpaka pale utakapofanyiwa marekebisho.
 

Post a Comment

 
Top