Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Image result for roma zimbabwe
Mwana hiphop Roma Mkatoliki  siku chache zilizopita aliagizwa na BASATA kubadilisha baadhi ya mistari katika wimbo wake wa “Kibamia” alioimba na msanii mwenzake Stamina.Kutokana na agizo hilo ambalo lilitolewa na BASATA kukawa na baadhi ya comments kutoka kwa mashabiki kuhusiana na hilo.


Post a Comment

 
Top