Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

 Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Country Boy amefunguka kuhusu mipango yake ya kutoa albamu kwa mwaka huu.
Rapper huyo  kwa sasa yupo tayari kutoa albamu kutokana na stock aliyopo.

“Kwa sababu tunastock nyingi sana tuna mpango wa kutoa albamu mbili au tatu mwaka huu, S2kizzy anamalizia tu vitu vyake,” amesema meneja wa msanii huyo Petit Man.
“Nyimbo ambazo nimetumiwa tu kwenye simu ni 48, sasa albamu ngapi hizo?,” amesisitiza.

Post a Comment

 
Top