Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
DSC_6845
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwasili katika kisiwa cha Fundo kwa ajili ya Uzinduzi wa Umeme leo mchana.
(Picha na Ikulu)
DSC_6879
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Maji Ardhi Mazingira na Nishati Mhe. Salama About Talib alipowasili katika Kisiwa cha Fundo kwa ajili ya Uzinduzi wa Umeme.(Picha na Ikulu)
DSC_7167
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akibonyeza kitufe kuashiria kuuzindua Umeme katika Kisiwa cha Fundo Wilaya ya Wete Pemba ikiwa na shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika kisiwa hicho leo.(Picha na Ikulu)
DSC_6944
WANAFUNZI wa Madrasatul Hidaya Islamia ya Tumbe wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein katika kisiwa cha Fundo kwa ajili ya uzinduzi wa Umeme leo.(Picha na Ikulu)
DSC_6976
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Usambazaji wa Umeme katika Kisiwa cha Fundo kisiwani Pemba ikiwa katika shamra shamra za sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika kisiwa hicho huko Fundo Wilaya ya Wete.(Picha na Ikulu)
DSC_7031 DSC_7070DSC_7080DSC_7086DSC_7087DSC_7109DSC_7136
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwahutubia Wananchi wa Kisiwa cha Fundo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Umeme.(Picha na Ikulu)
DSC_7174

Post a Comment

 
Top