Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt,Aman Abeid Karume alipokata utepe kuashiria Uzinduzi wa Ukuta wa Baharini Mizingani Mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.kulia yake ni Waziri wa Fedha na Mipango Dkt,Khalid Salum Mohammed na kushoto ni Mwakilishi wa Benki ya Dunia Andre Bald.Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt,Aman Abeid Karume akiangalia Ramani na kupata maelezo kutoka kwa Mratibu wa Mradi wa Huduma za Jamii Mijini(ZUSP)Makame Ali Makame kuhusiana na Ujenzi wa Ukuta wa Baharini katika uzinduzi wa ukuta huo Mizingani Mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt,Aman Abeid Karume akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uzinduzi wa Ukuta wa Baharini Mizingani Mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt,Aman Abeid Karume katikati akitembea kwa miguu baada ya uzinduzi wa Ukuta wa Baharini Mizingani kuelekea katika Bustani ya Forodhani Mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Baadhi ya Wageni waalikwa waliohudhuria katika uzinduzi wa Ukuta wa Baharini Mizingani sherehe zilizofanyika katika Bustani ya Forodhani Mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Mwakilishi wa Benki ya Dunia Andre Bald akitoa maelezo kuhusiana na ujenzi wa Ukuta wa Baharini Mizingani sherehe zilizofanyika katika Bustani ya Forodhani Mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Waziri wa Fedha na Mipango Dkt,Khalid Salum Mohammed akitoa hotuba khusiana na Ujenzi wa Ukuta wa Baharini Mizingani pamoja na miradi mbalimbali ya serikali katika katika uzinduzi wa Ukuta wa Baharini Mizingani sherehe zilizofanyika katika Bustani ya Forodhani Mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.


Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt,Aman Abeid Karume akisisitiza jambo alipotoa hotuba ya Uzinduzi wa Ukuta wa Baharini Mizingani sherehe zilizofanyika katika Bustani ya Forodhani Mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.kushoto yake ni Waziri wa Fedha na Mipango Dkt,Khalid Salum Mohammed na kulia ni Mwakilishi wa Benki ya Dunia Andre Bald.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

Post a Comment

 
Top