Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Magufuli Aanika Madudu Mengine ya Wizara ya Madini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ametangaza kumteua Kamishina mpya wa Madini ambaye pia atasimama kama Mtendaji Mkuu wa Tume ya Madini.

President Magufuli ametangaza uamuzi huo katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini DSM ya kumuapisha Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini. Ambapo amemteua Prof. Shukuruni Elisha Manya kuwa Kamishina wa Madini.

“Nimeambiwa Kamishina wa Madini ni tatizo inawezekana yupo hapa, Nimeamua kumteua Prof. Elisha Manya atakuwa Kamishina wa Madini na ndo atakuwa Mtendaji Mkuu wa Tume ya Madini.”- President Magufuli

“Nimeambiwa Kamishina wa Madini ni tatizo inawezekana yupo hapa, Nimeamua kumteua Prof. Elisha Manya atakuwa Kamishina wa Madini na ndo atakuwa Mtendaji Mkuu wa Kamishina ya Madini.”- President Magufuli

Post a Comment

 
Top