Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Baada ya Familia ya Noel Mkono maarufu kama Aika na Nahreel kubahatika kupata mtoto mwishoni mwa mwaka jana hawakuwahi kupost picha yoyote ya mtoto wao inayoonesha sura yake mpaka siku  January 12, 2018 ambapo kupitia ukurasa wa Instagram wa Nahreel na Navykenzo wameweka picha ya mtoto wao na kuonesha Sura yake.

Mtoto wa Aika na Nahreel ambaye amepewa jina la Gold ameonekana kwenye picha akiwa amevaa cheni ya Gold kama lilivyo jina lake.

Post a Comment

 
Top