Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Staa wa muziki kutokea Bongo Snura amepost picha katika mtandao wake wa Instagram na kuandika caption ambayo baaadhi ya mashabiki wameitafsiri tofauti na wengi kuhisi labda akataka kuacha kazi ya muziki na kuokoka.

  
Snura ameandika “kuna muda natamani niache hii kazi niishi maisha mengine kabisa” AyoTV imeongea na Snura kwa njia ya simu na kumuuliza kuhusiana na ishu hiyo na yeye amekiri kuwa amejisikia tu kuandika maneno yale lakini muziki ni kazi yake hawezi kuiacha.

Post a Comment

 
Top