Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Lava Lava Ameamua Kuja na Kilio 
Ikiwa ni muda mchache tu! toka aachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Teja’ Lava Lava ameamua kuachia ngoma nyingine iitwayo ‘Kilio’ audio ya ngoma hiyo imetayarishwa na Laizer wakati video imeongozwa na Zoom Production.


Huyu ni msanii mwingine kutoka WCB kuachia ngoma mfululizo kama ilivyokuwa mwishoni mwa mwaka 2017 ambapo Diamond Platnumz aliachia video mbili ziitwazo’Niache’ na ‘Sikomi’

Post a Comment

 
Top