Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Binti anayefanya vizuri kwenye Bongo-fleva, Faustina Charles ‘Nandy’.
BINTI anayefanya vizuri kwenye Bongo-fleva, Nandy amefunguka kuwa kama kutoa penzi ni bora kwa mwanamuziki mwenzake, Billnas na sio Dogo Janja kama wanavyosema watu.


Akazungumza na Spoti Xtra, alisema kuwa watu wengi wanasema kuwa wimbo alioimba wa Kivuruge amemuimbia Dogo Janja baada ya kumtema
Billnas
“Sijawahi kuwa na uhusiano na Dogo Janja ila ni mshikaji tu na sijamfikiria labda mngeniambia Billnas ni mtu ambaye ninampenda na ninatamani siku moja awe wangu ila kama atanifuata yeye,” alisema Nandy.

Post a Comment

 
Top