Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Msanii wa filamu Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ akiwa na mpenzi wake Mourad Alpha ‘Moj’ .
MSANII wa filamu Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ anadaiwa kuchungwa vilivyo na mwandani wake Mourad Alpha ‘Moj’ ambaye amekuwa akimbana kila kona na kuhakikisha anaongozana naye hata kwenye dili za shoo, ili asinyakuliwe
Gigy Money akiwa amemlalia mpenzi wake Moj .
Kwa mujibu wa chanzo chetu kilichopo karibu na wawili hao, kabla hawajaachana kisha kurudiana, Moj alikuwa ahangaiki naye anapokwenda kupiga shoo lakini tangu warudiane hivi karibuni, amekuwa akimganda kama ruba hata kama ni shoo za mkoani.

Gigy alipotafutwa kuhusiana na ishu hiyo alisema kuwa; “Unajua watu wanaongea sana kuhusu mimi, ndio maana mwanaume wangu kaona bora achunge mzigo wake haswaa watu wakose mabaya ya kuniongelea, ni kweli hata kwenye shoo huwa anataka kunisindikiza.

Post a Comment

 
Top