Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Amber Lulu amejibatiza jina la U-Mrs Prezzo baada uhusiano wake na MB Prezzo kukolea.

Binti huyo mrembo ameamua kujipachika jina hilo kwa sababu anaamini kuwa ndio mtu ambaye moyo wake umetua kwake.
“Nimejiamini kabisa wala sina hofu na kujipachika jina hilo kwa sababu najua yule ni wangu tu,” alisema Amber Lulu.

Post a Comment

 
Top