Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mchumba Mpya wa Wolper Afunguka "Nimeshamtolea Mahali Wolper Ndoa Inakuja Hivi Karibuni" 
Baaada ya maneno kuwa mengi katika mitandao na kijamii na hata katika vijiwe vya stori  kuwa muigizaji Jacqueline Wolper amechumbiwa na mwanaume mwingine baada ya kuachana na mpenzi wake wa zamani.


Mwanaume anayedaiwa kuwa ndiye mchumba mpya Wolper ambaye amejitambulisha kwa jina la Sadick Sanga amefunguka na kusema ni kweli amemchumbia muigizaji huyo..

"Ni kweli nimemchumbia na nimeshatoa mahari ndoa itafanyika hivi karibuni  ila watu wajue ni mke wangu mtarajiwa na tayari tarehe na kiibali cha ndoa kimeshatolewa na wazazi wetu"

"Mimi nimeamua kuwa naye kwaajili ya familia na sio kama wengine waliokuwa naye mwanzoni labda walitaka kuwa naye kwa sababu fulani ila mimi nipo naye kwaajiri ya upendo nimeangalia mioyo yetu na sio kama mitandano ya kijamii taarifa zinazosambaa kuwa nimeamua kuwa na wolper ili nilelewe" alisema 

Post a Comment

 
Top