Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
TANZIA
Jana Tarehe 5 Januari 2017 Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Rhidhiwani Kikwete ameshiriki Ibada ya Msiba wa Rafiki yake na aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Hondogo, Kata ya Mandela,Halmashauri ya Chalinze Ndg. Omar Ramadhani. Mh. Ridhiwani amesema Hakika ni Msiba mkubwa sana kwake na wana Chalinze na Mungu amlaze Mahala pema Peponi. Marehemu Omary Ramadhani, Amin.
Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Rhidhiwani Kikwete akishiriki kuomba dua katika msiba wa marehemu Omary Ramadhani.Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Rhidhiwani Kikwete akishiriki kuomba dua katika msiba wa marehemu Omary Ramadhani.Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki wakishiriki katika mazishi ya Marehemu Omary Ramadhani.Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete na Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki wakishiriki katika mazishi ya Marehemu Omary Ramadhani.Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akiweka mchanga katika kaburi wakati wa mazishi ya Marehemu Omary Ramadhani.

Post a Comment

 
Top