Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 Kibatala, Msando Wapigana Vikumbo Kesi ya Wema
Wakili Msomi Peter Kibatalaaliyekuwa akisimamia kesi ya Wema Sepetu ameandika barua ya kujitoa kuwa wakili wa wema. Kufuatia kujitoa kwa Kibatala kwenye kesi hiyo Alberto Msando ambaye amejiunga na CCM hivi karibuni naye ameandika barua ya kuwa wakili mpya wa wema sepetu .


Katika kesi hiyo iliyokuwa inaendelea katika Mahakama hiyo. Mahakama imepokea barua mbili kutoka Wakili wa Malkia huyo, Peter Kibatala barua ya kujitoa kuwa Wakili wa Wema na nyingine kutoka kwa Wakili Alberto Msando ya kuwa Wakili mpya wa Wema sepetu.

Wema anakabiliwa na kesi ya kukutwa na misoko ya bangi nyumbani kwake.
Kesi hiyo imeahairishwa mpaka february 8, mwaka huu.

Post a Comment

 
Top