Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
PIX ONE.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimfafanulia jambo Balozi wa Japan nchini, Masaharu Yoshida (kulia) wakati Balozi huyo alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Japan. Katikati ni Msaidizi wa Balozi huyo, Takashi Ban.

PIX TWO.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akimsikiliza Balozi wa Japan nchini, Masaharu Yoshida wakati Balozi huyo alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Japan. Katikati ni Msaidizi wa Balozi huyo, Takashi Ban.
Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Post a Comment

 
Top