Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mambo mengi yametokea na yame-trend katika mitandao ya kijamii kutokana na uzito wake, kwa upande wa wanamichezo kitu kilichokuwa kinazungumzwa sana ni kuhisiana na kifo cha mchezaji wa zamani wa Yanga Athuman Juma Chama.

Tumeona watu mbalimbali wakijitokeza kumzika Chama akiwemo Rais mstaafu wa awamu ya nne Dr Jakaya Mrisho Kikwete na waziri wa mambo ya ndani ya nchi Dr Mwiguku Nchemba, kingine kilichotrend ni kuhusiana na Rais John Pombe Magufuli kukutana na waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa.
Post ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda aliyoipost usiku wa January 9 katika ukurasa wake wa instagram imeonekana ku-trend kwa kupata likes nyingi na comment katika kipindi cha muda mfupi.
RC Makonda amepost picha ya mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na kiongozi wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni Freeman Mbowe na kuandika “Kaka yangu mpendwa anawatakia usiku mwema”>>>RC Makonda

Post a Comment

 
Top