Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 Image result for Ado Shaibu
Leo January 7, 2018 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha ACT Wazalendo  Addo Shaibu ameongea na waandishi wa habari na kutangaza uamuzi wa chama hicho kujiunga na UKAWA katika kupambania Demokrasia na Katiba mpya.

“Tumehazimia mwaka 2018 utakuwa ni mwaka wa kuimarisha ushirikiano na vyama vingine katika kupambana na Demokrasia, sisi ni wahanga wa hali hiyo, tayari kiongozi wa chama amezungumza na Mbowe na Hashimu Rungwe na ataendelea kufanya ivyo kwa vyama vingine,” -Ado Shaibu

Post a Comment

 
Top