Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
DSC_1163
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika Uwanja wa Amaan Zanzibar kuhudhuria sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar akiwa katika msafara maalum wa mapikipiki

DSC_1187
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasalimia Wananchi waliohudhuria sherehe za maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar yalioadhimishwa katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
DSC_1266
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipokea salamu na kupigwa mizinga 21 wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar yalioadhimishwa katika Viwanja vya Amaan Zanzibar.
DSC_1310
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Viongozi wa Jukwaa Kuu wakisimama wakati wa kutowa salamu na kupigwa mizinga 21 kuadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar
DSC_1283
KIKOSI cha JWTZ wakitowa heshima wakati wa kupigwa mizinga 21 wakati wa maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika katika viwanja vya Amaan Zanzibar.
DSC_1339 DSC_1358 DSC_1408
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikagua bwaride Maalum la maadhimisho ya Sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar yalioadhimishwa katika viwanja vya Amaan Zanzibar
DSC_1935
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya sherehe za kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya Amaan Zanzibar.
DSC_0828
BAADHI ya Wananchi na Wageni waalikwa wakihudhuria maadhimisho ya sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika katika Viwanja vya Amaan Zanzibar.
DSC_0852
MAKAMU wa Rais Mstaaf wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwasili katika viwanja vya Amaan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mohmoud
DSC_0877
MABALOZI wanaowakilisha Nchini zao Tanzania wakiwasili katika Uwanja wa Amaan Zanzibar kuhudhuria sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Post a Comment

 
Top