Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
DSC_0133
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohammed Shein akifukia mche wa Mnazi baada ya kuupanda katika Uzinduzi wa Jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mazizini Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

DSC_0156
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria katika Uzinduzi wa Jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mazizini Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
DSC_0177
Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Bi,Mayasa Mahfoudh Mwinyi akisoma Risala  katika Uzinduzi wa Jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mazizini Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
DSC_0186
Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia  Ms,Bella Bird akitoa maelezo mafupi katika Uzinduzi wa Jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mazizini Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
DSC_0213
Waziri wa Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt,Khalid Salum Mohammed akitoa maelezo kuhusiana na utekelezaji wa maazimio yaliotolewa wakati wasemina ya watendaji wakuu kuhusu umuhimu wa Takwimu  katika Uzinduzi wa Jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mazizini Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
DSC_0235
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohammed Shein akisisitiza jambo alipotoa hotuba ya Uzinduzi wa Jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mazizini Wilaya ya Magharibi B Unguja  .Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar. kulia yake ni Makamo wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Ali Idi .
DSC_0305
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohammed Shein akikunjuwa kitambaa kuashiria Uzinduzi wa Jengo jipya la Mtakwimu Mkuu wa Serikali  ya Mapinduzi ya Zanzibar Mazizini Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Post a Comment

 
Top