Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 Mchekeshaji na Mtangazaji maarufu Idris Sultan amevaa Boxer kichwani baada ya Hii picha yake ya kutangaza nguo za ndani za kiume ‘Boxer’ kukosolewa mtandaoni.

Idris anasema >“Natumaini hii hapa inafaa kama tangazo la boxer because nimeweka picha nimevaa boxer inapotakiwa kuvaa imekua shida. Na hicho kichwa ndani ya boxer sasaivi kinawatosha si ndio ? Haya subirini nyingine 8 zinakuja maana hizo 2 tu #MyCalvins #CalvinKlein “

Post a Comment

 
Top