Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Hussen Machozi Amshukuru Alikiba kwa Kumpa Shavu 
Msanii Hussein Machozi ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Sweet Melody' amefunguka na kusema kuwa kitendo ambacho amefanya msanii Alikiba kumpa 'support' katika kazi yake hiyo kimempa nguvu zaidi na kuona na yeye ni mtu muhimu.Hussein Machozi amesema hayo wakati akiongea na mwandishi wa EATV.TV na kusema anaamini Alikiba amesikiliza na kuiona kazi yake mpya na kuikubali ndiyo maana ameamua kumpa support.

Post a Comment

 
Top