Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Hukumu ya Scopion Yakwama Kusomwa Mahakamani  
Hukumu ya mwalimu wa sanaa ya kujihami ‘Martia Arts’  Salum Njwete maarufu kama Scorpion ya kumjeruhi na kumtoboa macho Kinyozi Said Mrisho leo ilishindwa kusomwa katika Makahama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar kufuatia hakimu aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo, Frola Haule, kusema bado hajakamilisha kuiandaa.Majeruhi Said Mrisho aliyetobolewa macho (katikati) akiongozwa na ndugu zake kuondoka makamani hapo baada ya kesi hiyo kuahirishwa.

Hakimu huyo ameiharisha kesi hiyo mpaka Januari 22 mwaka huu ambapo amesema ndiyo atatoa hukumu hiyo.  Kufuatian hali hiyo Scopion amerudishwa rumande mpaka tarehe hiyo.

Post a Comment

 
Top