Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 
Msanii wa wa kizazi kipya anayesumbua na ngoma ya January To December' Hemedy PhD amekiri kujutia maisha yake ya nyuma ambayo yalikuwa ya kubadilisha wanawake kila siku na kuwaasa vijana wenzake wasiige huo mtindo wa maisha kwani una athari.

Hemedy amesema kwamba mtindo wa maisha yake miaka ya nyuma wakati ndo anaanza kupata umaarufu yalikuwa ni mabaya kitabia hususani kwenye mahusiano  kwani alikuwa anatembea na wasichana hadi watano kwa siku.
Sio kitu cha kujivunia kwa sasa hivi ila ni maisha ambayo nimeyapitia na nisingependa vijana wengi ambao wanaonisikiliza sasa hivi wafanye hivyo, Lakini mzee. Ilikuwa ni panga pangua, Sometimes kabisa najenga kambi Hoteli mzee mimi nafumua tuu” amesema Hemedy PhD .
Mbali na hayo Hemedy PhD amekiri kuwa mpaka sasa hakumbuki ni idadi ya wanawake wangapi alitembea nao ila anachokumbuka ni kuwa ametembea mademu wengi kipindi cha nyuma alivyoanza kupata umaarufu.
 

Post a Comment

 
Top