Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
January 6, 2018 muigizaji Faiza Ally kupitia mtandao wake wa instagram ameandika caption inayohusiana na kujitoa Latina magroup ya wasanii hasahasa ya wasanii wa Bongo movies na kuongelea ishu ya wasanii kutosaidiana.

“Najua sina umuhimu kwenye industry ya filamu kutokana kuna wenyewe wenye sanaa yao na ukubwa wao ktk secta hiyo lkn nimehuzuria kwenye vikao kazaa katika kujitia umuhimu wa uwepo wangu na kujiunga ktk magrupu yao ili niwe pamoja nao kama msanii mwenzao lkn Kuna hali flani ile kwamba wewe sio muhimu.
“Kwa kweli nimeamua kujitoa kwenye magrupu kwa sababu kiukweli hayatimizi malengo kiufupi zaidi ya kuchangia misiba. ..kitu ambacho sio kibaya lkn kikubwa zaidi nilichoona wasanii wa filamu ushamba. ..u mimi na ujinga unasumbua sana hata pale unapotoa mawazo mazuri hayachukuliwi uzito na hata yanapo chukulia ni nguvu za coca”
“Nazungumza haya kutoka na post ya msanii mkubwa kabisa kuomba msaada wa kutibiwa ni aibu. ..wasanii ni watu wakubwa sana …wasanii wote mngekua na malengo”
Maneno ya Faiza Ally wengi wameyahusisha ni kwa sabbat ya Wastara ambaye kwa sasa anahitaji hela ya matibabu lakini wasanii wenzake wanadaiwa kukaa kimya wala hawajawa kipaumbele katika kumchangia.

Post a Comment

 
Top