Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Staa wa filamu za Kibongo, Ester Kiama.
STAA wa filamu za Kibongo, Ester Kiama ameibuka na kusema kuwa wanaume wa mtandaoni kwake ni mwiko kabisa kwani wamekuwa wakimfuata sana kwenye ukurasa wake wa Intagram.


Akipiga stori Risasi Jumamosi Ester alifafanua kauli yake hiyo ya kusema hawataki kwa sababu hataki kashfa amekuwa akiwablock na kupitia hapa ameamua kuwafungukia kuwa hawezi kutoka nao kimapenzi kwani wengi hawana nia njema wamekuwa na tabia ya kuwadhalilisha mastaa
Ester Kiama akiwa kwenye pozi.
“Nimeona kwa mastaa wengine wanavyo-dhalilishwa hivyo sipendi kabisa yaje yanitokee kwa kweli wengi wamekuwa wakinijaribu lakini sitaki kabisa na haitatokea kwani wengi wanafanya hivyo kwa mastaa kwa ajili ya kuwadhalilisha na kujitangazia kuwa anatoka na mtu flani ndiyo furaha yao na wengine wamekuwa wakidiriki kuwapiga picha za utupu mastaa kitu ambacho ni kibaya sana,” alisema Ester.

Post a Comment

 
Top