Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Msanii Dudu Baya amesema kuwa yeye sio msanii wa kulia lia kama Jux anayemlilia Vanessa.
 Dudu Baya amesema yeye ni msanii anayebadilika kila wakati kulingana na kile kitu mashabiki wake wanataka.


"Mimi nabadilika kila wakati kulingana na mazingira, na ndo maana  ukisikia nyimbo zangu kwa sasa ni kwaajili ya masela na sio watu wa kulia lia, kama wapo watu wanaotaka kulia lia wakamsikilize Jux anayemlilia Vanessa maana sio kila mtu kaachwa na Vanessa," amesema Dudubaya.

Dudubaya ni msanii wa Bongo Fleva aliyetamba zaidi katika miaka ya 2005  na nyimbo zake tofauti ikiwemo mpenzi, nakupenda tu na nyinginezo

Post a Comment

 
Top