Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Baada ya kufunga ndoa mwaka jana, Dogo Janja na Irene Uwoya sasa waonyesha pete zao za ndoa.

 Dogo Janja ameonyesha pete yake na kuandika >“The ring is really DOPE # weddingring na Irene Uwoya ameweka picha ya kidole chake cha kikiwa na pete yake ya ndoa”
Dogo Janja na Irene Uwoya sasa wamefanikiwa kuwaaminisha raia kuwa ni mke na mume ikiwa ni baada ya mashabiki wengi kuzidi kuwa na wasi wasi juu ya kama ni kweli palikuwa na ndoa au ilikuwa filamu au video ya bongo fleva.
Hongera kwa Dogo Janja na Irene Uwoya, tunawatakia maisha mema kwenye ndoa yenu mwaka 2018.


Post a Comment

 
Top