Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Rais Magufuli (kulia) akimjulia hali mzee Mzee Kingungwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemjulia hali mwanasiasa mkongwe Mzee Kingunge Ngambale Mwiru aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela, Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Mzee Kingunge anatibiwa majeraha baada ya kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam
Hali hii ya kulazwa kwa Mzee Kingunge inakuja wakati Mke wake, Peras Kingunge akiwa amefariki dunia juzi Alhamisi Januari 4, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambapo bado ahajzikwa.
 

Post a Comment

 
Top