Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Hiki Hapa Alichokisema Manara Juu ya Mziki wa Aslay 
Msemaji wa club ya Simba Haji Manara ni mshabiki mkubwa wa muziki wa Bongofleva na mara nyingi utakuta akitoa maoni yake mbalimbali akizungumzia muziki wa bongofleva na wasanii wenyewe.


Leo January 12 2018 ameandika na kuonyesha kuwa yeye ni miongoni mwa watu wanaoamini kuwa muimbaji wa Bongofleva Aslay hapewi heshima anayostahili lakini ana uwezo mkubwa na anacho kipaji na ameandika kupitia instagram account yake.“Sijawahi kuwa na mashaka juu ya uwezo wako,najua nchi inawataja sana wengine,bt nnapokusikiliza naona hujapewa heshma unayostahili…you are a Real Super Duper Star @aslayisihaka >>ManaraPost a Comment

 
Top