Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Baada ya kuona Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Juliana Shonza kuwataka wasanii ambao wamekuwa wakikaa nusu utupu katika mitandao ya kijamii na kwenye music videos zao kuwa wanahitajika kuripoti BASATA wakiwemo wasanii Gigy Money, na Sanchi.

Baada ya Pretty Kind kutangazwa kufungiwa miezi sita katika kazi yake ya sanaa  muigizaji Jacquline Wolperkupitia katika ukurasa wake wa instagram alipost picha ya wanawake wamevaa mabaibui na kuandika caption inayosema “Akuna namna dadekiiii mambo ya miezi 6 sitakiii” na baada ya muda mfupi kuifuta caption hiyo.

Post a Comment

 
Top