Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mwakyembe akiwa katika hafla hiyo.

Kituo cha Barazani alichokizindua Mwakyembe.

Jaqueline Wolper alikuwa miongoni mwa wasanii waliohudhuria hafla hiyo.

Baadhi ya wasanii mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo.

Wasanii waliohudhuria.
WAZIRI wa habari, Utamaduni sanaa na michezo, Dkt.Harison Mwakyembe amezindua kituo cha wasanii kitakachokuwa kikisambaza na kusimamia kazi za wasanii kiitwacho Barazani.
Akizungumza katika uzinduzi huo, Mwakyembe amesema kuwa lengo kubwa la kituo hicho litakuwa kusaidia wasanii kusambaza kazi zao kwa faida na kwa uwazi kupitia teknolojia ya mitandao

Post a Comment

 
Top