Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Ujumbe wa Msando, Jerry Muro kwa Wema Sepetu Baada ya Kutangaza Kurudi CCM "Nyumbani ni Nyumbani" 
Ujumbe wa alberto Msando kwa Wema sepetu baada ya kutangaza kurudi CCM Msando ameposti picha za mrembo huyo na kuandika kuwa "@wemasepetu we spoke and I repeat watakutukana, watajaribu kukudhalilisha, watatumia nguvu kuonyesha ufai, watakuombea mabaya, watatamani uanguke,
watapenda uwe mnyonge, Ila ukweli wanajua ni suala la muda tu ukweli utajulikana. Muda ni kila kitu maamuzi haya ni sahihi na yeyote ambaye anakujari wewe kama rafiki ataelewa. Ni maisha yako,ni kesho yako, ni Tanzania yako @wemasepetu#forthosewholovetohate #hayawatanzaniauongowao #maamuzibinafsi #nabado #sindano #maumivuYakichwa #kuwangazisasabasi #theDon #hpolepole #sheIsback

Naye Jeri Murro ameandika hivi "Niliambiwa kuwa mtoto akinyea mkono huwezi kukata mkono always home is home "

Post a Comment

 
Top