Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Related image
Wito kwa Vyombo vya Habari
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatarajia kutoa tamko rasmi la zoezi lijulikanalo kama ‘Ushirikiano Imara” 2017 litakalojumuisha nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Tamko hilo litatolewa tarehe 5 Desemba 2017 saa 3:00 asubuhi Makao Makuu ya Jeshi, Upanga jijini Dar es Salaam
Ukiwa mdau muhimu wa habari, chombo chako kinaalikwa kuhudhuria katika tukio hilo muhimu
Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano

04 Desemba, 2017.

Post a Comment

 
Top