Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Salma Salmin ‘Sandra’.
Staa wa filamu za Kibongo tangu kitambo, Salma Salmin ‘Sandra’ amehama nchi na kuhamia nchini Kenya ambapo amedai kuwa stress za maisha ndizo chanzo.


Akipiga stori na Risasi Jumamosi Sandra alisema kuwa kutokana na stress za maisha na ugumu wa kazi ameamua kuhama nchi na kuhamia nchini Kenya ambapo amekuwa akirudi mara mojamoja kwa ajili ya kusalimia.

“Niliamua kwenda huko kufanya kazi baada ya kufanya usaili wa kucheza tamthiliya na kufanikiwa kupita ambapo nashukuru Mungu wamenipokea vizuri na nimecheza kama mhusika mkuu bila kujali kuwa mimi si Mkenya naona maisha yanaenda tofauti na nilivyokuwa Bongo.”

Post a Comment

 
Top