Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Wolper Afunguka Kuhusu Kurudiana na Harmonize "Yule ni Njiwa Wangu Nampata Muda Wowote" 
Msanii wa Filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka taarifa za kurudiana na Harmonize.

Kauli hiyo inakuraja mara baada ya Wolper kumjibu shabiki mmoja katika mtandao kuwa anaweza kumpata Harmonize kwa wakati wowote.


“Kwanini nimejiaminisha?, sasa yule si njiwa wangu kabisa au hamjui Harmonize njiwa wangu,” amesema.

Hata hivyo amesema kuwa kauli hiyo aliitoa kutokana mtu huyo alimkera hivyo akaamua kutoa neno la kumuumiza pia. 

Post a Comment

 
Top