Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Spika wa Bunge la Morocco,Mheshimiwa Habib El Malk(kulia) jana katika maadhimisho ya miaka 56 ya uhuru wa Tanzania Bara.Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akimkaribisha Spika wa Bunge la Morocco, Mheshimiwa Habib El Malk (kulia) nyumbani kwake mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa mazungumzo yenye lengo ya kudumisha urafiki baina ya nchi mbili.Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akifurahi jambo na Spika wa Bunge la Morocco, Mheshimiwa Habib El Malk(kulia) nyumbani kwake mjini Dodoma.Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akiteta jambo na Spika wa Bunge la Morocco, Mheshimiwa Habib El Malk(kushoto) nyumbani kwake mjini Dodoma ikiwa ni baada ya kumalizika kwa maadhimisho ya miaka 56 ya uhuru wa Tanzania Bara.Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa tatu kushoto) akiwa na ugeni kutoka Morocco uliomtembelea leo ofisini kwake Mjini Dodoma ukiongozwa na Spika wa Bunge la Morocco, Mheshimiwa Habib El Malk (wa tatu kulia).Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Spika wa Baraza la wawakilishi Zanzibar, Mheshimiwa Zubeir Maulid (katikati), Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kulia) leo nyumbani kwake Mjini Dodoma.Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akizungumza na Spika wa Bunge la Morocco, Mheshimiwa Habib El Malk (katikati), Spika wa Bunge la Baraza la wawakilishi Zanzibar, Mheshimiwa Zubeir Maulid (kushoto) leo wakati Spika huyo kutoka Morocco alipomtembelea Spika Ndugai nyumbani kwake Mjini Dodoma.pika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Morocco, Mheshimiwa Habib El Malk (wa pili kulia), Spika wa Bunge la Baraza la wawakilishi Zanzibar, Mheshimiwa Zubeir Maulid (kulia) na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje ya nchi na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa. Dkt. Susan kolimba (kushoto), pale Spika huyo kutoka Morocco alipomtembelea Spika Ndugai ofisini kwake Mjini Dodoma

PICHA NA OFISI YA BUNGE

Post a Comment

 
Top