Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Sanchoka Afunguka Kuhusu Dkt. Shika 'Siwezi Kuduu na Dkt Shika'MWANAMITINDO maarufu Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa maneno yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa ana mpango wa kumsaka Dk. Louis Shika ‘aduu’ naye ni uzushi tu, kwani mzee huyo anamuona kama baba yake mzazi.


Akizungumza na gazeti hili, Sanchi alisema hata apewe mabilioni ya fedha kamwe hawezi kubanjuka na Dk. Shika mwenye umri unaoendana na wa mzazi wake.
“Hakuna kitu kinachoniuma kama watu wanavyosambaza kuwa mimi namtamani sana Dk. Shika, yule ni kama baba yangu kabisa, naanzaje kumvulia nguo? Si nitapata laana bure,” alisema Sanchi.

Post a Comment

 
Top