Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mkongwe kwenye muziki wa bongo fleva Rehema Chalamila Ray C amewafungukia mavideo Vixen ambao wamekuwa wakitokea kwenye video mbalimbali za muziki huku sehemu ya miili yao ikiwa nusu utupu.

Akipiga stori na Mikito Nusunusu Ray amefanguka kuwa tabia ya kukaa uchi katika video haitokani na maoni ya waongozaji bali, hata tabia za mavideo vixen wenyewe hutaka na hutengeneza mazingira ya kukaa uchi jambo ambalo si zuri kwa afya ya muziki wa Bongo fleva.
“Nina wafahamu vizuri mavideo vixen wa bongo, baadhi yao hutengeneza mazingira ya wao kuonesha maumbo yao na kwa kujiweka utupu, si maoni ya waongozaji tu, bali hata video Queen wenyewe ni tatizo,” alisema Ray C

Post a Comment

 
Top