Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
DSC_2298
kocha mkuu hemed moroco akitambulisha wachezaji.Kocha Mkuu wa Zanzibar Heroes Hemed Moroco akiwatambulisha wachezaji wake kwa Rais Dkt.Shein Ikulu Leo

DSC_2344
Rais Dkt.Shein akitoa pongezi kwa wachezaji wakati wa chakula Mchana Ikulu Leo baada ya Zanzibar Heroes kushika nafasi ya Pili katika Michuano ya Afrika Mashariki na Kati ‘CECAFA’
DSC_2356
Wachezaji wa Zanzibar Heroes wakipiga makofi kwa Rais Dkt.Shein walipokutana naye na kula Chakula cha pamoja Mchana Ikulu baada ya Zanzibar Heroes kushika nafasi ya Pili katika Michuano ya Afrika Mashariki na Kati ‘CECAFA’DSC_2408
Rais Dkt.Shein pamoja na viongozi wengine wakipata Chakula katika hafla ya kuwapongeza wachezaji wa Zanzibar Heroes baada ya Zanzibar Heroes kushika nafasi ya Pili katika Michuano ya Afrika Mashariki na Kati ‘CECAFA’
DSC_2453
Baadhi ya Wachezaji wa Zanzibar Heroes wakipata chakula cha pamoja na Rais Dkt.Shein Ikulu walipoenda kupewa pongezi baada ya Zanzibar Heroes kushika nafasi ya Pili katika Michuano ya Afrika Mashariki na Kati ‘CECAFA’
DSC_2546
Rais Dkt.Shein akiwa na wachezaji wa Zanzibar Heroes wakipata Picha ya Pmaoja baada ya Zanzibar Heroes kushika nafasi ya Pili katika Michuano ya Afrika Mashariki na Kati ‘CECAFA’

Post a Comment

 
Top