Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


 Producer wa muziki Bongo, Aby Dad amesema si kweli ma-producer hawanufaiki na kazi zao moja kwa moja kama inavyokuwa ikizungumzwa.

Hata hivyo amekiri kuwa kuna usumbufu wanaokumbana nao kutoka kwa wasanii.  amesema wasanii wana tabia wanapotiwa beat na producer ili kujitangaza na kazi hiyo kutoka hata kazi ya pili atahitaji kufanyiwa bure.
“Kwa mimi kwa kazi nilizozifanya kwa dhamani nililizozipata fo me nimeona ni advantage moja kubwa sana, kuna kitu kimepatikana kwa time lakini” amesema.
Moja ya ngoma zinazofanya vizuri kwa sasa kutoka Aby Dad ni ya Rich Mavoko ambayo amemshirikisha Patoranking kutoka Nigeria.

Post a Comment

 
Top