Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
MTANGAZAJI maarufu Bongo, Ben Kinyaiya amefunguka kuwa anatarajia rasmi kuvuta jiko.
Kinyaiya alisema kuwa, Mungu akijalia hivi karibuni atauaga ukapera rasmi kwa kufunga ndoa na mwenza wake ambaye hakutaka kumuanika wazi.

“Unajua ndoa ni mapenzi ya Mungu, kama mwanadamu sina mamlaka kihivyo, ila Mungu akijalia ‘soon’ ninafunga ndoa na mwandani wangu,” alisema Kinyaiya.

Post a Comment

 
Top