Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 
Msanii na mbunifu wa mavazi, Q Boy Msafi amesema yupo tayari kuvaa sketi kwa ajili ya fashion show.

Q Boy ambaye anafanya vizuri na ngoma ‘Kamoyo’ ameiambia 5 Selekt ya EATV kuwa kuvaa huko kutategemea nini hasa amelenga katika vazi husika.
“Kama concept ya kitu ninachokifanya inaniambia nivae vile naweza kuvaa” amesema Q Boy Msafi.
“Siyo sketi unavyokusudia, ni mfumo wa sketi kwa sababu siyo kile unachokiona kipo kwenye vision ya kile ambacho kinatangulia, baadhi ya watu wametengeneza sketi lakini inaweza kutokea kitu kingine” ameongeza.
Q Boy Msafi alishawahi kuwa mbunifu wa mavazi wa msanii Diamond Platnumz.
 

Post a Comment

 
Top