Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Muigizaji mkongwe Bongo Muvi, Halima Yahaya ‘Davina’.
MUIGIZAJI mkongwe Bongo Muvi, Halima Yahaya ‘Davina’, amesema hapendi tena kutumika kwa wa­naume ambao hawana msima­mo katika maisha yake zaidi ya kumzeesha.


Aki­zun­gumza na Kilinge, Davina al­isema: “Huko nyuma mtu unakuwa na akili ya ki­toto hata unapokutana na mtu anakuambia anakupenda na kuamua kufunga ndoa nawe (unamkubali), baada ya miezi kadhaa mnatengana.

“Sasa hivi nimekuwa najitambua vilivyo na uzuri najua yupi ana­kudanganya au anaku­pendea umaarufu tu, hivyo mambo ya kutumika bila mpango siku hizi hakuna tena kabisa.

Post a Comment

 
Top