Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 
Msanii Baraka The Prince amekanusha kuzaa mtoto na video queen Careen ambaye ni mkazi wa Arusha, kama ambavyo imesambaa mitandaoni.
Akifanya  na kusema kwamba hajazaa na binti huyo na wala hajawahi kukutana naye kimwili.

Licha ya kuchezwa sauti ya binti huyo ikiongolea kuwa Baraka ndiye baba wa mtoto huyo, amesema ingawa mama mtoto kasema ni wake lakini sio kauli ya kuamini kwani ameshapitia mambo kama hayo.
“Nina mtoto mmoja yuko Arusha, mama anaitwa Farida, ni mtoto wangu, hizo stori zingine sio kweli”, amesema Baraka The Prince.
Pamoja na hayo Baraka amekanusha taarifa za kuachana na mpenzi wake, na kusema kwamba bado wapo pamoja.
 

Post a Comment

 
Top